USIACHE KUSOMA HII KAMA UNA MIAKA ZAIDI YA 40 NA UNAHISI UMEPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME

Ili mwanaume yeyote aweze kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi mzuri lazima kuwe na vitu hivi viwili

  1. Mzunguko mzuri wa damu
  2. Kiwango cha kutosha cha kichocheo[hormone] ya Testosterone

Lakini sasa Sayansi imedhibitisha kua..

Mzunguko wa damu huvurugika  kutokana na magonjwa sugu kama sukari,presha na matatizo ya moyo na pia umri mkubwa,

Pia Homoni Hii ya TESTOSTERONE huanza kupungua ukifikisha miaka 40 na kadiri unavyoendelea kuongezeka huzidi kupungua.

Ifahamu homoni ya kiume ya TESTOSTERONE

Kama Hujui Homoni hii husaidia vitu vifuatavyo

  1. Uzalishaji wa mbegu za kiume
  2. Huongeza hamu ya tendo
  3. Husaidia mifupa kua imara
  4. Ukuaji wa misuli
  5. Ukuaji wa uume na korodani
  6. Mabadiliko ya nywele na sauti baada ya balehe

Dalili za upungufu wa homoni ya TESTOSTERONE

Hivyo kama mtu anakiwango kidogo cha homoni hiyo hua ana dalili zifuatazo

  1. Kukosa hamu ya tendo
  2. Kushindwa kurudia Tendo
  3. Uume kutokusimama vizuri yani legelege
  4. Kutoa mbegu chache n.k

Hivyo kama una dalili hizo na umri wako ni tayari una miaka 40 unaweza ukawa na upungufu wa homoni ya TESTOSTERONE.

Vyakula vya kuongeza homoni ya TESTOSTERONE

Homoni hii ni rahisi sana kuirudisha Katika hali ya kawaida unachotakiwa ni kula vyakula kama

  1. Mbegu za maboga
  2. Parachichi
  3. Nyama
  4. Ini
  5. Mayai
  6. Samaki wa baharini
  7. Jamii ya karanga
  8. Nafaka
  9. Uyoga
  10. Mbegu za maboga
  11. Jamii ya maharage ya kijani

 

Mzunguko wa damu

Pia jambo la pili ambalo ni mzunguko wa damu

 

Kama mzunguko wa damu hauko vizuri hapo lazima uume ushindwe kusimama kwa uimara kama msumali

Na mara nyingi mzunguko wa damu huharibiwa kutokana na mtindo wa Maisha mfano

  1. Ulaji mbovu wa vyakula hasa vyenye mafuta
  2. Mwili kukosa mazoezi
  3. Magonjwa sugu kama sukari presha na matatizo ya moyo

 

Hivyo ili uweze kua na mzunguko mzuri wa damu ni lazima uzingatie kula chakula sahihi na kufanya mazoezi

 

Kama unahitaji kurudisha nguvu zako za kiume Ni vizuri uhakikishe mzunguko wako wa damu uko vizuri na pia kiwango cha homoni ya TESTOSTERONE iko sawa ili uweze

  1. Kufanya tendo kwa muda mrefu bila kumwaga
  2. Kurudia tendo round 2 na zaidi
  3. Mashine isimame imara

 

HITIMISHO

Kama una umri wa miaka 40 na zaidi na hauwezi kupata hivyo vyakula unaweza kutumia virutubisho lishe  vitakavyokusaidia

 

Kuboresha mzunguko wa damu na kuweka sawa kiwango cha homoni ya TESTOSTERONE Ili uweze kufurahia tendo la ndoa zaidi ya kijana wa miaka 20

 

Na kama unahitaji virutubisho lishe vya uhakika vinavyofanya kazi unaweza kuagiza kwetu kwa bei ya kuanzia 15,000/= tuu

Ukajipatia kirutubisho kinachoitwa MFALME

 

MFALME ni zaidi ya virutubisho na dawa zote za nguvu za kiume ulizowahi kuzitumia

MFALME inauwezo wa kuanza kukupa matokeo ndani ya siku tatu tuu

 

Kama unahitaji kufahamu zaidi kuhusu kirutubisho cha mfalme bonyeza hapo chini

This website is not part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, this site is not endorsed by Facebook in any way. Facebook is a trademark of Facebook, Inc